Kidhibiti cha nenosiri |
PasswordManagerEnabled | Wezesha kidhibiti cha nenosiri |
PasswordManagerAllowShowPasswords | Waruhusu watumiaji kuonyesha manenosiri katika Kidhibiti cha Manenosiri |
Kionyeshi chaguo-msngi cha HTML kwaGoogle Chrome Frame |
ChromeFrameRendererSettings | Kionyeshi chaguo-msngi cha HTML kwaGoogle Chrome Frame |
RenderInChromeFrameList | Onyesha ruwaza zifuatazo za URL mara kwa mara katika Google Chrome Frame |
RenderInHostList | Onyesha ruwaza zifuatazo za URL mara kwa mara katika kivinjari cha mpangishaji |
AdditionalLaunchParameters | Vigezo vya ziada vya mstari wa amri vya Google Chrome |
SkipMetadataCheck | Ruka kuingia kwa metatagi katika Google Chrome Frame |
Kitoaji chaguo-msingi cha utafutaji |
DefaultSearchProviderEnabled | Wezesha kitoaji chaguo-msingi cha utafutaji |
DefaultSearchProviderName | Kitoaji chaguo-msingi cha utafutaji |
DefaultSearchProviderKeyword | Nenomsingi la mtoa huduma chaguo-msingi wa utafutaji |
DefaultSearchProviderSearchURL | Mtoaji wa utafutaji chaguo-msingi wa URL ya utafutaji |
DefaultSearchProviderSuggestURL | Mtoa huduma chaguo-msingi wa utafutaji anapendekeza URL |
DefaultSearchProviderInstantURL | URL ya papo hapo ya kitoaji chaguo-msingi cha utafutaji |
DefaultSearchProviderIconURL | Ikoni ya mtoaji wa utafutaji chaguo-msingi |
DefaultSearchProviderEncodings | Usimbaji wa kitoaji chaguo-msingi cha utafutaji |
DefaultSearchProviderAlternateURLs | Orodha ya URL mbadala za mtoa huduma chaguo-msingi wa utafutaji. |
DefaultSearchProviderSearchTermsReplacementKey | Kigezo kinachodhibiti uwekaji wa hoja ya utafutaji kwa mtoa huduma ya utafutaji chaguo-msingi |
DefaultSearchProviderImageURL | Kigezo kinachotoa kipengele cha kutafuta kwa picha kwa mtoa huduma wa utafutaji chaguo-msingi |
DefaultSearchProviderNewTabURL | Mtoa huduma ya utafutaji chaguo-msingi ya URL ya ukurasa wa kichupo kipya |
DefaultSearchProviderSearchURLPostParams | Vigezo vya URL ya utafutaji inayotumia POST |
DefaultSearchProviderSuggestURLPostParams | Vigezo vya URL ya kupendekeza inayotumia POST |
DefaultSearchProviderInstantURLPostParams | Vigezo vya URL ya papo hapo inayotumia POST |
DefaultSearchProviderImageURLPostParams | Vigezo vya URL ya picha inayotumia POST |
Kurasa za kuanza |
RestoreOnStartup | Kitendo kwa kuanza |
RestoreOnStartupURLs | URL za kufunguliwa unapooanza |
Mipangilio ya Maudhui |
DefaultCookiesSetting | Mpangilio wa vidakuzi chaguo-msingi |
DefaultImagesSetting | Mpangilio chaguo-msingi wa picha |
DefaultJavaScriptSetting | Mpangilio chaguo-msingi wa JavaScript |
DefaultPluginsSetting | Mpangilio chaguo-msingi wa programu jalizi |
DefaultPopupsSetting | Mpangilio chaguo-msingi za ibukizi |
DefaultNotificationsSetting | Mpangilio wa arifa chaguo-msingi |
DefaultGeolocationSetting | Mpangilio chaguo-msingi wa eneo la kijiografia |
DefaultMediaStreamSetting | Mpangilio chaguo-msingi wa mkondomedia |
AutoSelectCertificateForUrls | Chagua kiotomatiki vyeti vya mteja vya tovuti hizi |
CookiesAllowedForUrls | Ruhusu vidakuzi kwenye tovuti hizi |
CookiesBlockedForUrls | Zuia vidakuzi katika tovuti hizi |
CookiesSessionOnlyForUrls | Ruhusu vidakuzi vya kipindi pekee kwenye tovuti hizi |
ImagesAllowedForUrls | Ruhusu picha katika tovuti hizi |
ImagesBlockedForUrls | Zuia picha katika tovuti hizi |
JavaScriptAllowedForUrls | Ruhusu JavaScript kwenye tovuti hizi |
JavaScriptBlockedForUrls | Zuia JavaScript kwenye tovuti hizi |
PluginsAllowedForUrls | Ruhusu programu jalizi kwenye tovuti hizi |
PluginsBlockedForUrls | Zuia programu jalizi katika tovuti hizi |
PopupsAllowedForUrls | Ruhusu ibukizi kwenye tovuti hizi |
RegisteredProtocolHandlers | Sajili vishikilizi vya itifaki |
PopupsBlockedForUrls | Zuia madirisha ibukizi kwenye tovuti hizi |
NotificationsAllowedForUrls | Ruhusu arifa katika tovuti hizi |
NotificationsBlockedForUrls | Zuia arifa katika tovuti hizi |
Mipangilio ya ufikiaji |
ShowAccessibilityOptionsInSystemTrayMenu | Onyesha chaguo za ufikiaji katika menyu ya trei ya mfumo |
LargeCursorEnabled | Washa kishale kikubwa |
SpokenFeedbackEnabled | Wezesha maoni yaliyozungumzwa |
HighContrastEnabled | Wezesha modi ya juu ya kulinganua |
VirtualKeyboardEnabled | Washa kibodi ya skrini |
KeyboardDefaultToFunctionKeys | Vitufe vya media huelekeza kwenye vitufe vya vitendo kwa chaguo-msingi |
ScreenMagnifierType | Weka aina ya kikuza skrini |
DeviceLoginScreenDefaultLargeCursorEnabled | Weka hali chaguo-msingi ya kishale kikubwa kwenye skrini ya kuingia katika akaunti |
DeviceLoginScreenDefaultSpokenFeedbackEnabled | Weka hali chaguo-msingi ya maoni yanayotamkwa kwenye skrini ya kuingia katika akaunti |
DeviceLoginScreenDefaultHighContrastEnabled | Weka hali chaguo-msingi ya hali ya juu ya utofautishaji kwenye skrini ya kuingia katika akaunti |
DeviceLoginScreenDefaultVirtualKeyboardEnabled | Weka hali chaguo-msingi ya kibodi ya skrini kwenye skrini ya kuingia katika akaunti |
DeviceLoginScreenDefaultScreenMagnifierType | Weka aina ya kikuza skrini cha msingi kama kimewashwa kwenye skrini ya kuingia katika skrini |
Mipangilio ya watumiaji inayodhibitiwa kwa ndani |
SupervisedUsersEnabled | Washa watumiaji wanaosimamiwa |
SupervisedUserCreationEnabled | Washa uundaji wa watumiaji wanaosimamiwa |
Ruhusu Google Chrome Frame kushughulikia aina zifuatazo za maudhui |
ChromeFrameContentTypes | Ruhusu Google Chrome Frame kushughulikia aina za maudhui zilizoorodheshwa |
Sanidi chaguo za Hifadhi ya Google |
DriveDisabled | Disables Drive in the Google Chrome OS Files app |
DriveDisabledOverCellular | Disables Google Drive over cellular connections in the Google Chrome OS Files app |
Sanidi chaguo za ufikiaji wa mbali |
RemoteAccessClientFirewallTraversal | Wezesha kutamba kwa ngome kutoka kwa mteja wa mbali kufikiwa |
RemoteAccessHostFirewallTraversal | Inawezesha kutamba kwa ngome kutoka katika ufikivu wa mpangishaji wa mbali |
RemoteAccessHostDomain | Sanidi jina la kikoa linalohitajika kwa wapangishaji wa ufikivu wa mbali |
RemoteAccessHostRequireTwoFactor | Wezesha uthibitishaji wa vipengee viwili kwa wapangishaji wa ufikivu wa mbali |
RemoteAccessHostTalkGadgetPrefix | Sanidi kiambishi awali cha TalkGadget kwa ufikiaji wa wapangishaji wa mbali |
RemoteAccessHostRequireCurtain | Wezesha uzuiaji wa wapangishaji wa ufikiaji mbali. |
RemoteAccessHostAllowClientPairing | Huwasha au kuzima uthibitishaji usiotumia PIN |
RemoteAccessHostAllowGnubbyAuth | Ruhusu uthibitisho wa gnubby |
RemoteAccessHostAllowRelayedConnection | Washa matumizi ya seva za relei kwa mpangishi wa ufikiaji wa mbali |
RemoteAccessHostUdpPortRange | Zuia masafa ya lango la UDP yaliyotumiwa na mpangishi wa ufikiaji wa mbali |
Sera za Uthibitishaji wa HTTP |
AuthSchemes | Mipango inayohimiliwa ya uthibitishaji |
DisableAuthNegotiateCnameLookup | Lemaza kidokezo cha CNAME unapohawilisha uthibitishaji wa Kerberos |
EnableAuthNegotiatePort | Jumuisha lango lisiyo wastani katika Kerberos SPN |
AuthServerWhitelist | Orodha ya kuidhinisha ya seva ya uthibitishaji |
AuthNegotiateDelegateWhitelist | Orodha iliyoidhinishwa ya ukaumu wa seva ya Kerberos |
GSSAPILibraryName | Jina la maktaba ya GSSAPI |
AllowCrossOriginAuthPrompt | Vishtuo vya Cross-origin HTTP Basic Auth |
Seva ya proksi |
ProxyMode | Chagua jinsi ya kubainisha mipangilio ya seva mbadala |
ProxyServerMode | Chagua jinsi ya kubainisha mipangilio ya seva mbadala |
ProxyServer | Anwani au URL ya seva ya proksi |
ProxyPacUrl | URL hadi proksi ya faili ya .pac |
ProxyBypassList | Kanuni za ukwepaji proksi |
Ujumbe wa Asili |
NativeMessagingBlacklist | Sanidi orodha ya wasioidhinishwa ya ujumbe asili |
NativeMessagingWhitelist | Sanidi orodha ya walioidhinishwa ya ujumbe asili |
NativeMessagingUserLevelHosts | Ruhusu wapangishi wa Ujumbe Asili wa ngazi ya mtumiaji (wanaosakinishwa bila idhini ya msimamizi). |
Ukurasa wa Kwanza |
HomepageLocation | Sanidi URL ya ukurasa wa kwanza |
HomepageIsNewTabPage | Tumia Ukurasa Mpya wa Kichupo kama ukurasa wa kwanza |
Usimamizi wa nishati |
ScreenDimDelayAC | Ufifili wa skrini unachelewesha wakati wa kuendesha kwa nishati ya AC |
ScreenOffDelayAC | Kuchelewa kwa kuzima skirini wakati nishati ya AC inapotumika |
ScreenLockDelayAC | Ufungaji wa skrini unachelewa wakati nishati ya AC inapotimika |
IdleWarningDelayAC | Onyo ya kuchelewa wakati wa kutokuwa na shughuli wakati wa kuendesha kwa nishati ya AC |
IdleDelayAC | Kutokuwa na shughuli kunachelewesha wakati wa kuendesha kwenye nishati ya AC |
ScreenDimDelayBattery | Ufifili wa skrini unachelewa wakati wa kuendesha kwa nishati ya betri |
ScreenOffDelayBattery | Kuzimika kwa skrini kunachelewa wakati wa kuendesha kwa nishati ya betri |
ScreenLockDelayBattery | Ufungaji wa skrini unachelewa wakati wa kuendesha kwa nishati ya betri |
IdleWarningDelayBattery | Onyo ya kuchelewa wakati wa kutokuwa na shughuli wakati wa kuendesha kwa nishati ya betri |
IdleDelayBattery | Kutokuwa na shughuli kunachelewesha wakati wa kuendesha kwa nishati ya betri |
IdleAction | Hatua ya kuchukua wakati ucheleweshaji wa kutokuwa na shughuli unapofikiwa |
IdleActionAC | Kitendo cha kuchukua ucheleweshwaji wa kutulia unapofikiwa wakati inaendeshwa kutumia nishati ya AC |
IdleActionBattery | Kitendo cha kuchukua wakati ucheleweshaji wa kutofanya kitu umefikiwa ikiendeshwa kutumia nishati ya betri |
LidCloseAction | Hatua ya kuchukua mtumiaji anapofunga mfuniko |
PowerManagementUsesAudioActivity | Bainisha iwapo shughuli za sauti zinaathiri udhibiti wa nishati |
PowerManagementUsesVideoActivity | Bainisha iwapo shughuli za video zinaathiri udhibiti wa nishati |
PresentationIdleDelayScale | Asilimia ya kupima kuchelewesha kwa mwanga wa skrini katika modi ya wasilisho (kimewacha kuendesha huduma) |
PresentationScreenDimDelayScale | Asilimia ya kupima kuchelewesha kwa mwanga wa skrini katika modi ya wasilisho |
AllowScreenWakeLocks | Ruhusu makufuli ya kuwasha skrini |
UserActivityScreenDimDelayScale | Asilimia ambayo mwangaza wa skrini utaongezwa uchelewaji iwapo mtumiaji anaanza kutumia baada ya kupunguza mwangaza |
WaitForInitialUserActivity | Subiri shughuli ya kwanza ya mtumiaji |
PowerManagementIdleSettings | Mipangilio ya kusimamia nishati mtumiaji anapokuwa hafanyi kitu |
ScreenLockDelays | Ucheleweshaji wa kufunga sjrini |
Uthibitishaji wa Mbali |
AttestationEnabledForDevice | Washa usahihishaji wa mbali wa kifaa |
AttestationEnabledForUser | Washa usahihishaji wa mbali kwa mtumiaji |
AttestationExtensionWhitelist | Viendelezi vinaruhusiwa kutumia API ya usahihishaji wa mbali |
AttestationForContentProtectionEnabled | Washa matumizi ya usahihishaji wa mbali wa kulinda maudhui ya kifaa |
Viendelezi |
ExtensionInstallBlacklist | Sanidi orodha inayotiliwa shaka ya usakinishaji wa kiendelezi |
ExtensionInstallWhitelist | Sanidi orodha iliyoidhinishwa ya usakinishaji kiendelezi |
ExtensionInstallForcelist | Sanidi orodha ya viendelezi vilivyosakinishwa kwa nguvu |
ExtensionInstallSources | Sanidi viendelezi, programu, na vyanzo vya kusakinisha hati |
ExtensionAllowedTypes | Sanidi aina za programu/viendelezi zinazoruhusiwa |
AllowFileSelectionDialogs | Ruhusu ubatilishaji wa vidadisi vya uchaguzi wa faili |
AllowOutdatedPlugins | Ruhusu kuendesha programu jalizi ambazo zimepitwa na wakati. |
AlternateErrorPagesEnabled | Wezesha kurasa badala za hitilafu |
AlwaysAuthorizePlugins | Kila wakati inaendesha programu jalizi ambazo zinahitaji uidhinishaji. |
ApplicationLocaleValue | Lugha ya programu |
AudioCaptureAllowed | Ruhusu au upinge kurekodi sauti |
AudioCaptureAllowedUrls | URL ambazo zitapewa ufikiaji wa vifaa vya kunasa sauti bila ushawishi |
AudioOutputAllowed | Ruhusu kucheza sauti |
AutoCleanUpStrategy | Huchagua mkakati unaotumiwa kufuta baadhi ya faili ili kuacha nafasi wakati wa kufuta kiotomatiki (imekosolewa) |
AutoFillEnabled | Washa uwezo wa Kujaza kitomatiki |
BackgroundModeEnabled | Endelea kuendesha programu za mandharinyuma wakati Google Chrome imefungwa |
BlockThirdPartyCookies | Zuia vidakuzi vya wengine |
BookmarkBarEnabled | Wezesha Upau wa Alamisho |
BrowserAddPersonEnabled | Enable add person in profile manager |
BrowserGuestModeEnabled | Enable guest mode in browser |
BuiltInDnsClientEnabled | Tumia DNS teja ya kijenzi cha ndani |
ChromeOsLockOnIdleSuspend | Wawezesha kufunga wakati kifaa kinapokuwa hakifanyi kitu au kimesimamishwa |
ChromeOsMultiProfileUserBehavior | Dhibiti tabia ya mtumiaji katika kipindi cha wasifu nyingi |
ChromeOsReleaseChannel | Kituo cha Kutoa |
ChromeOsReleaseChannelDelegated | Ikiwa kituo cha kutoa kinastahili kusanidiwa na mtumiaji. |
ClearSiteDataOnExit | Futa data ya tovuti kwenye uzimaji wa kivinjari (imepingwa) |
CloudPrintProxyEnabled | Wezesha proksi ya Google Cloud Print |
CloudPrintSubmitEnabled | Wezesha uwasilishaji wa nyaraka kwenye Google Cloud Print |
ContextualSearchEnabled | Enable Touch to Search |
DataCompressionProxyEnabled | Washa kipengee cha proksi cha upunguzaji wa data |
DefaultBrowserSettingEnabled | Set Google Chrome as Default Browser |
DeveloperToolsDisabled | Lemaza Zana za Wasanidi Programu |
DeviceAllowNewUsers | Ruhusu uundaji wa akaunti mpya za mtumiaji |
DeviceAllowRedeemChromeOsRegistrationOffers | Ruhusu watumiaji kukomboa matoleo kupitia Usajili wa Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome |
DeviceAppPack | Orodha ya viendelezi vya AppPack |
DeviceAutoUpdateDisabled | Inalemaza Kusasisha Otomatiki |
DeviceAutoUpdateP2PEnabled | Usasishaji kiotomatiki wa P2P umewashwa |
DeviceBlockDevmode | Zuia hali ya wasanidi programu |
DeviceDataRoamingEnabled | Wezesha utumiaji wa data nje ya mtandao wako wa kawaida |
DeviceEphemeralUsersEnabled | Futa data ya mtumiaji unapoondoka |
DeviceGuestModeEnabled | Wezesha modi ya wageni |
DeviceIdleLogoutTimeout | Muda umekwisha mpaka uondokaji wa kuingia kusikotumika kutekelezwe |
DeviceIdleLogoutWarningDuration | Muda wa ujumbe wa tahadhari wa kuondoka tulivu |
DeviceLocalAccountAutoLoginBailoutEnabled | Washa njia ya mkato ya kibodi ya usaidizi wa kuingia otomatiki |
DeviceLocalAccountAutoLoginDelay | Saa ya kipindi cha umma cha uingiaji otomatiki |
DeviceLocalAccountAutoLoginId | Kipindi cha umma cha uingiaji otomatiki |
DeviceLocalAccountPromptForNetworkWhenOffline | Washa ombi la usanidi wa mtandao inapokuwa nje ya mtandao |
DeviceLocalAccounts | Akaunti za kifaa cha karibu nawe |
DeviceLoginScreenPowerManagement | Udhibiti wa nishati kwenye skrini ya kuingia |
DeviceLoginScreenSaverId | Seva ya skrini kutumiwa kwenye skrini ya kuingia katika modi rejareja |
DeviceLoginScreenSaverTimeout | Muda wa shughuli kabla ya seva ya skrini kuonyeshwa kwenye skrini ya kuingia katika modi ya rejareja |
DeviceMetricsReportingEnabled | Wezesha kuripoti kwa metriki |
DeviceOpenNetworkConfiguration | Usanidi wa mtandao wa kiwango cha kifaa |
DevicePolicyRefreshRate | Onyesha upya kiwango cha Sera ya Kifaa |
DeviceRebootOnShutdown | Automatic reboot on device shutdown |
DeviceShowUserNamesOnSignin | Onyesha majina ya watumiaji kwenye skrini ya kuingia |
DeviceStartUpFlags | System wide flags to be applied on Google Chrome start-up |
DeviceStartUpUrls | Pakia url maalum kwenye onyesho la kuingia. |
DeviceTargetVersionPrefix | Toleo Lengwa la Kusasisha Otomatiki |
DeviceTransferSAMLCookies | Transfer SAML IdP cookies during login |
DeviceUpdateAllowedConnectionTypes | Aina za miunganisho zinazoruhusiwa kwa visasisho |
DeviceUpdateHttpDownloadsEnabled | Ruhusu vipakuliwa vya kusasisha kiotomatiki kupitia HTTP |
DeviceUpdateScatterFactor | Sasisha kiotomatiki kipengee cha kutawanya |
DeviceUserWhitelist | Ingia kwenye orodha ya kutoa idhini ya mtumiaji |
Disable3DAPIs | Lemaza uhimili wa API za michoro ya 3D |
DisablePluginFinder | Bainisha iwapo kitafutaji programu jalizi kinafaa kulemazwa |
DisablePrintPreview | Disable Print Preview (deprecated) |
DisableSSLRecordSplitting | Lemaza ugawanyaji wa rekodi ya SSL |
DisableSafeBrowsingProceedAnyway | Lemaza kuendelea kutoka kwenye ukurasa wa ilani ya Kuvinjari Salama |
DisableScreenshots | Zima upigaji picha za skrini |
DisableSpdy | Lemaza itifaki ya SPDY |
DisabledPlugins | Bainisha orodha ya programu jalizi zilizolemazwa |
DisabledPluginsExceptions | Bainisha orodha ya programu jalizi ambayo mtumiaji anaweza kuwezesha au kulemaza |
DisabledSchemes | Lemaza mipango ya itifaki ya URL |
DiskCacheDir | Weka saraka ya akiba ya diski |
DiskCacheSize | Weka ukubwa wa akiba ya diski katika baiti |
DnsPrefetchingEnabled | Wezesha ubashiri wa mtandao |
DownloadDirectory | Weka saraka ya kupakua |
EasyUnlockAllowed | Allows Smart Lock to be used |
EditBookmarksEnabled | Inawezesha au kulemaza uhariri wa alamisho |
EnableDeprecatedWebPlatformFeatures | Enable deprecated web platform features for a limited time |
EnableOnlineRevocationChecks | Ikiwa ukaguzi wa mtandaoni wa OCSP/CRL umeatekelezwa |
EnableWebBasedSignin | Huwasha kuingia katika akaunti kulingana na wavuti |
EnabledPlugins | Bainisha orodha ya programu jalizi zilizowezeshwa |
EnterpriseWebStoreName | Jina la biashara la duka la wavuti (limeacha kuendesha huduma) |
EnterpriseWebStoreURL | URL ya duka la wavuti la biashara (imeacha kuendesha huduma) |
ExternalStorageDisabled | Lemaza uangikaji wa hifadhi ya nje |
ForceEphemeralProfiles | Mfumo wa Muda Mfupi |
ForceGoogleSafeSearch | Force Google SafeSearch |
ForceSafeSearch | Lazimisha SafeSearch |
ForceYouTubeSafetyMode | Force YouTube Safety Mode |
FullscreenAllowed | Ruhusu hali ya skrini nzima |
GCFUserDataDir | Weka saraka ya data ya mtumiaji wa Google Chrome Frame |
HideWebStoreIcon | Hide the web store from the New Tab Page and app launcher |
HideWebStorePromo | Zuia utambulishaji dhidi ya kuonekana kwenye ukurasa mpya wa kichupo |
ImportAutofillFormData | Import autofill form data from default browser on first run |
ImportBookmarks | Ingiza alamisho kutoka kivinjari chaguo-msingi wakati wa uendeshaji wa kwanza |
ImportHistory | Leta historia ya kivinjari kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi wakati wa uendeshaji wa kwanza |
ImportHomepage | Leta ukurasa wa mwanzo kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi kwenye uendeshaji wa kwanza |
ImportSavedPasswords | Leta manenosiri yaliyohifadhiwa kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi kwenye uendeshaji wa kwanza |
ImportSearchEngine | Leta injini za utafutaji kutoka kwenye kivinjari chaguo-msingi wakati wa uendeshaji wa kwanza |
IncognitoEnabled | Washa hali Fiche |
IncognitoModeAvailability | Upatikanaji wa hali fiche |
InstantEnabled | Wezesha Papo hapo |
JavascriptEnabled | Wezesha JavaScript |
ManagedBookmarks | Alamisho Zinazosimamiwa |
MaxConnectionsPerProxy | Kiwango cha juu kabisa cha miunganisho ya wakati mmoja kwenye seva ya proksi |
MaxInvalidationFetchDelay | Upeo wa juu wa ucheleweshaji wa kuleta baada ya kutothibitisha sera |
MediaCacheSize | Weka ukubwa wa akiba ya diski ya media katika vipimo vya baiti |
MetricsReportingEnabled | Wezesha kuripoti kwa matumizi na data zinazohusu mvurugiko |
NetworkPredictionOptions | Wezesha ubashiri wa mtandao |
OpenNetworkConfiguration | Usanidi mtandao wa kiwango cha mtumiaji |
PinnedLauncherApps | Orodha ya programu zilizobanwa ili kuonekana kwenye kizunduzi |
PolicyRefreshRate | Kiwango cha kuonyesha upya kwa sera ya mtumiaji |
PrintingEnabled | Wezesha uchapishaji |
RebootAfterUpdate | Zima na uwashe tena otomatiki baada ya kusasisha |
ReportDeviceActivityTimes | Ripoti muda wa shughuli za kifaa |
ReportDeviceBootMode | Ripoti modi ya kuwasha kifaa |
ReportDeviceNetworkInterfaces | Ripoti violesura vya mtandao wa kifaa |
ReportDeviceUsers | Ripoti watumiaji wa kifaa |
ReportDeviceVersionInfo | Ripoti OS na toleo la programu dhibiti |
RequireOnlineRevocationChecksForLocalAnchors | Iwapo ukaguzi wa OCSP/CRL mtandaoni unahitajika kwa nanga za uaminifu za karibu |
RestrictSigninToPattern | Zuia ni watumiaji wapi ambao wanaruhusiwa kuingia kwenye Google Chrome |
SAMLOfflineSigninTimeLimit | Weka kikomo cha muda ambao mtumiaji aliyethibitishwa kupitia SAML anaweza kuingia katika akunti nje ya mtandaoni |
SSLVersionFallbackMin | Minimum SSL version to fallback to |
SSLVersionMin | Minimum SSL version enabled |
SafeBrowsingEnabled | Wezesha Kuvinjari Salama |
SavingBrowserHistoryDisabled | Lemaza kuhifadhi historia ya kivinjari |
SearchSuggestEnabled | Wezesha mapendekezo ya utafutaji |
SessionLengthLimit | Punguza urefu wa kipindi |
SessionLocales | Set the recommended locales for a public session |
ShelfAutoHideBehavior | Dhibiti kujificha kitomatiki kwa rafu |
ShowAppsShortcutInBookmarkBar | Onyesha njia ya mkato katika sehemu ya alamisho |
ShowHomeButton | Onyesha kitufe cha Mwazo kwenye upauzana |
ShowLogoutButtonInTray | Ongeza kitufe cha kuondoka kwenye chano la mfumo |
SigninAllowed | Allows sign in to Google Chrome |
SpellCheckServiceEnabled | Wezesha au lemaza huduma ya wavuti ya ukaguzi tahajia |
SuppressChromeFrameTurndownPrompt | Didimiza kukataa kuuliza kwa Google Chrome Frame |
SyncDisabled | Lemaza usawazishaji wa data iliyna Google |
SystemTimezone | Saa za eneo: |
SystemUse24HourClock | Tumia saa ya saa 24 kwa chaguo-msingi |
TermsOfServiceURL | Weka Sheria na Masharti kwa akaunti ya kifaa cha karibu nawe |
TouchVirtualKeyboardEnabled | Wezesha kibodi isiyobayana |
TranslateEnabled | Wezesha Tafsiri |
URLBlacklist | Zuia ufikivu kwenye orodha za URL |
URLWhitelist | Inaruhusu kufikia orodha ya URL |
UptimeLimit | Wekea kifaa vizuizi vya muda wa kuwaka kwa kuzima na kuwasha kiotomatiki |
UserAvatarImage | Picha ya ishara ya mtumiaji |
UserDataDir | Weka saraka ya data ya mtumiaji |
UserDisplayName | Weka jina la onyesho kwa ajili ya akaunti za kifaa cha karibu |
VideoCaptureAllowed | Ruhusu au ukatae kurekodi video |
VideoCaptureAllowedUrls | URL ambazo zitapewa ufikiaji wa vifaa vya kunasa video bila ushawishi |
WPADQuickCheckEnabled | Washa uboreshaji wa WPAD |
WallpaperImage | Picha ya mandhari |